MWIGULU AZIDI KUCHANJA MBUGA KUIMARISHA USALAMA WA NDANI WA NCHI.#PICHA YA SIKU:

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh.Mwigulu L. Nchemba akiwa na Mkuu wa wilaya ya Buhigwe(kushoto) Col.Marko Elisha Gaguti na Mkuu wa wilaya ya Kasulu(kulia) Col.Martin Mkisi.


Mwigulu amewasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya kukagua mipaka ya nchi,kukutana na watumishi wa idara ya magereza,polisi,uhamiaji na zimamoto.

Vilevile kufanya tathimini ya moja kwa moja ya changamoto zinazoikabili wizara ya mambo ya ndani na idara zake.

(Picha/Malezo na Festo Sanga)
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment