MKUU WA MKOA SIMIYU APOKEA MIFUKO 1000 YA SARUJI KUJENGA VYUMBA VYA MADARASA.

MKUU WA MKOA SIMIYU APOKEA MIFUKO 1000 YA SARUJI KUJENGA VYUMBA VYA MADARASA.


Anthony Mtaka mkuu wa Mkoa Simuyu akipokea mifuko ya Saruji kwa niaba ya wananchi mkoa wa Simiyu-

"Napenda kumshukuru sana Mwenyekiti wa chama cha wanunuzi wa Pamba Mh.Christopher Gachuma kwa kutuchangia mifuko elfu moja ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa,tunawaalika na wadau wengine wote waje kutuunga mkono katika kuchangia ujenzi wa miundombinu ya elimu kwa watoto wetu SIMIYU."

Pia Mh Anthony Mtaka amewataka wadau wengine WA maendelea kuunga mkono Juhudi za mh Rais Dk Magufuli kuwasaidia watoto WA Masikini kuoata elimu bure kwa kusidia ujenzi WA vymba vya madarasa Maabara Hostel Na Kutengeneza madawati ya kutosheleza wanafunzi wote mkoani humo Na nchi nzima.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment