Mbunge wa Morogoro Kusini awatembelea wananchi wake Kijiji cha Baga

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Prosper Mbena akisalimiana na Mmoja wa Wananchi wa Kijiji cha Baga ambaye ni Mlemavu wa Miguu (jina lake halikupatikana mara moja), wakati alitembelea Kijiji hicho.

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Prosper Mbena akipanda mlima kuelekea kijiji cha Baga kuwatembelea wananchi wake na kujionea hali ya miundombinu ya barabara inavyowatesa wananchi wa kijiji hicho chenye mazao mengi ya kilimo hususan ndizi.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Prosper Mbena akisalimiana na baadhi ya Wananchi wake aliokutana nao njiani wakati aliekekea kijiji cha Baga kuwatembelea wananchi wake na kujionea hali ya miundombinu ya barabara inavyowatesa wananchi wa kijiji hicho chenye mazao mengi ya kilimo hususan ndizi.
Safari ikiendelea.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Prosper Mbena akizungumza na Wananchi wake katika Kijiji cha Baga, wakati alipowatembelea na kujionea hali ya miundombinu ya barabara inavyowatesa wananchi wa kijiji hicho chenye mazao mengi ya kilimo hususan ndizi.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, Prosper Mbena akipita kando ya Mto Mvuha kwenye kijiji cha Baga ambao inadaiwa kuwa unaleta madhara makubwa kwa wananchi pindi unapojaa maji na kufurika wakati wa mvua. inaelezwa kuwa Mwaka huu watu wanne wamepoteza maisha kwa kusombwa na maji kwenye mto huo.


SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment