Hakimu nchini Brazil kuruhusu maandamano ya amani

Baadhi ya mashabiki wakionekana wamebeba mabango yenye ujumbe unaosema "Temer nje" katika mashindano ya Olympiki

Image captionBaadhi ya mashabiki wakionekana na mabango yenye ujumbe unaosema "Temer nje" katika mashindano ya Olympiki
Hakimu huko nchini Brazil ameruhusu maandamano ya amani ya kisiasa wakati wa michezo ya olimpiki inayoendelea huko mjini Rio.

Uhuru wa kujieleza

Hakimu amesema kuwa kuwaondoa waandamanaji hao ni ukiukwaji wa uhuru wa kujieleza. Amepokea maombi ya kuruhusu maandamano hayo kutoka kwa chombo cha serikali cha kutetea maslahi ya umma, hata hivyo, waandaji wa michezo hiyo wanatarajia kupinga uamuzi huo.
BBC
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment