Erdogan aelekea Urusi kujifua kuichumi


JICHO LA KIMATAIFA BAADA YA KUSHINDWA MAPINDUZI YA UTURUK RAIS TAYYIP ERDOGAN AELEKEA URUSI KUIFUFUA UTURUK YA ZAMA ZA OTTOMAN EMPIRE.

Leo jicho la siasa ya Dunia litakua ktk jiji la Sempetasi nchi Urusi wakati miamba miwili Rais Recep Tayyip Erdogan na Rais Putin watapokutana. ..baada ya mgogoro wa Kuangushwa kwa ndege ya Urusi. ...

Ikumbukwe Rais Putin ndiye aliyekua kua Mtu wa kwanza kumpigia simu Rais Erdogan baada ya Mapinduzi Butu kufeli. .pia watatia saini makubaliano ya biashara zaidi ya dola billion 100 na Upitishwa wa Bomba kubwa la GASI. .

Marekani na Nchi za Magharibi zinaumizwa kichwa sanaa na Mkutano wa leo ambao huenda ukabadilisha Siasa ya Ulaya,Asia na Mashariki ya kati. ..
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment