Breaking News..GAZETINLA MSETO LAFUNGIWA MIAKA MITATU.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amelifungia gazeti la Mseto kwa miezi 36 kutokana na kuandika stori yenye nyaraka za kughushi.

 Nape amelifungia gazeti hilo leo baada ya kuandika habari ya uongo kuhusu Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Edwin Ngonyani na kwamba nyaraka zilizotumiwa si za kweli.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment