YANGA LEO USHINDI NI LAZIMAA.... TUNA KAZI MOJA TU KUWAPA RAHAAAA WATANZANIAA.. TUKUTANE TAIFA.Klabu ya Yanga leo imewahakikishia washabi wake kuwa leo waje kwa wingi uwanja wa taifa kwenda kupewa Rahaa na kuahidi kuwa leo wana kazi moja tu kuwafunga wapinzani wa Ghana Medeama..

Leo Yanga inajitumia uwanjani kucheza mchezo wa tatu na huku imeshajeza michezo miwili na kupoteza yote ule wa ndani na wa nje kule algeria..

Kwa mateko hayo leo itailazimu yangu kupata ushindi ili kujihakikishia kusonga mbele na kufufua matumaini na furaha ya mashabiki wake.

SISI KAMA WATANZANIA TUNAWATAKIA WANA YANGA NA WATANZANIA WOTE USHINDI MWEMAA.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment