Waislamu wajiunga na wakatoliki katika ibada ya kuombea amani na kuvumiliana katika dini.

Image captionWaislamu wajiunga na wakatoliki katika ibada
WaIslamu zaidi ya mia moja wamejumuka na Wakatoliki katika sala iliyohudhuriwa na waumini wengi katika Kanisa moja huko Rouen, Ufaransa.
Tukio hilo limewadia , siku tano baada ya kasisi wa kanisa hilo , kuuawa na wapiganaji wa Kiislamu.
Image captionMuungano huo unalenga kuonesha umoja dhidi ya mauaji ya kasisi
Makanisa sehemu mbali mbali za Ufaransa, yaliwaalika WaIslamu wajumike nao kwenye maombi leo, kuonesha wanakanusha mauaji hayo.
Mauaji ya hivi karibu kabisa yaliyotekelezwa na wapiganaji wa Kiislamu, yameshtua Ufaransa.
Image captionKasisi huyo wa umri wa miaka 86, Kasisi Jacques Hamel, aliuwawa akiwa kwenye maombi.
Kasisi huyo wa umri wa miaka 86, Kasisi Jacques Hamel, aliuwawa akiwa kwenye maombi.

BBC
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment