VIJANA CCM WAANZA KUPIGANA VIKUMBO KUMRITHI SADIFA UWENYEKTI UVCCM-TAIFA.


Kukiwa kumesalia takribani mwaka mmoja tu kwa Chama cha mapinduzi na jumuiya zake kufanya uchaguuzi ndani ya chamana kutengeneza safu mpya kwa maandalizi ya Uchakugzi kuu wa 2020.

Tayari ndani ya Jumuiya ya Vijana UVCCM Vijana wengi wamejitokeza na kuanza kupigana Vikumbo kutaka kuwania nafasi hoyo ya juu kabisa katika jumuiya hiyo ya chama yenye nguvu kabisa ambapo pia mwenyekiti wake anakuwa pia mjumbe wa KAMATI KUU-CC.

Katika orodha ya Vijana wanaotajwa na waliojitokeza wapi pia Wahaeshimiwa wabunge VIJANA na wengine wakiwa ni wasomi wa kiwango cha PhD...

Hii hapa ni orodha ya  kati ya Vijana Kumi (10)
Maarufu UVCCM wanaojifua kumrithi ni:- .Selamani Serera  Huyu ni Mwanafunzi anakamilisha masomo yake ya shahada ya Udaktari wa falsafa (UZAMIVU) PhD
Pia wamo Zainab Katimba na Halima Bulembo hawa ni wabunge Vijana..

Wengine ni 
Abdul Mohamed Van, 
James Rock Mwakibinga ,
Hussein Mtoro, 
Bomboko Hassan.
Selamani Mwenda 
Jabiri Omary na .Ole Sabaya 

 Ni Majina yanayotajwa tajwa kuwania Uenyekiti wa Jumuiya ya UVCCM Mwaka 2017, Kiukweli kila mmoja amejitosheleza kwa Sifa,Umri na Uwezo wa Kuhakikisha UVCCM inakua imara katika Ndani ya CCM kwa kasi ya Hapa Kazi Tu ya Serikali ya awamu ya Tano.

SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment