SEIF AL-ISLAM GADDAFI Mtoto wa Rais wa zamani wa Libya, ameachiwa huru baada ya hukumu yake ya kifo kufutwa na mahakama moja nchini humo...KWA SASA ANATAJWA KAMA MTU PEKEE ATAKAYEWEZA KUEREJESHA AMANI YA LIBYA NA KUUNGANA KURUDI KUWA TAIFA MOJA

Mtoto wa Rais wa zamani wa Libya, Saif al-Islam Gaddafi ameachiwa huru baada ya hukumu yake ya kifo kufutwa na mahakama moja nchini humo.


-Wakili wake amesema kuwa anapambana ili mahakama ya Kimataifa ya ICC imuondolee mashtaka yake ili aweze kuruhusiwa kusafiri nje ya nchi bila kukamatwa.

SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment