Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwagaia vitafunwa wageni mbalimbali waliofika Ikulu kwa ajili ya kushuhudia Maafisa wa Polisi walipondishwa vyeo wakati wakila kiapo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwagaia vitafunwa wageni mbalimbali waliofika Ikulu kwa ajili ya kushuhudia Maafisa wa Polisi walipondishwa vyeo wakati wakila kiapo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwagaia vitafunwa baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria tukio hilo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwagaia vitafunwa baadhi ya Maafisa mbalimbali wa Polisi waliokula kiapo cha Maadili Ikulu jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Naibu wake Hamadi Masauni mara baada ya Maafisa wa Jeshi la Polisi waliopandishwa vyeo kula Kiapo ahadi ya uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU.
    
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika picha na meza kuu baada ya kushuhudia maafisa waandamizi wa polisi waliopandishwa veyo wakila kiapo cha Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo, wakiwemo Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe Angellah Kairuki, Naibu Waziri wa mambo ya Ndani Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Meja Jenerali Projest Rwegasira, Kamishna wa maadili ya Utumishi wa Umma  Jaji Mstaafu Salome Kaganda na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika picha na meza kuu na  maafisa waandamizi wa polisi waliopandishwa vyeo baada ya kula kiapo cha Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo, 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika picha na meza kuu na  wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama maafisa waandamizi wa polisi  baada ya maofisa waliopandishwa vyeo kula kiapo cha Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo,
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment