Mshambuliaji Marekani alipanga makubwa

Image copyright
Mkuu wa polisi katika mji wa Dallas amesema wamepata ushahidi kuwa Micah Johnson alifanya majaribio ya kulipuwa vilipuzi.
Kabla ya kuuawa Ijumaa asubuhi, Johnson aliwaambia 
polisi amekasirishwa na matukio ya hivi karibuni ya mauaji dhidi ya watu weusi yanayofanywa na polisi.
Maafisa watano wa polisi waliuawa katika shambulio hilo.

BBC
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment