MSANII WALPER AIKIMBIA CHADEMA USIKU AWAFUATA MSINDAI NA MPENDAZOE CCM AWAOMBA RADHI WANA CCM.

MSANII WALPER AMKIMBIA LOWASSA NA KUREJEA CCM

Msanii wa Bongo Movie, Jacqueline Walper usiku wa leo ameamua kurejea Chama cha Mapinduzi na kumkimbia aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa.

Walper ambaye alizunguka mikoani kumnadi Lowassa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 amewaomba radhi wafuasi wa CCM akidai aliteleza tu pale alipoamua kukipigia debe Chadema kipicha hicho cha uchaguzi.

Walper ametangaza rasmi uwamuzi huo kwenye Tamasha la Usiku wa Wasanii walipokuwa wakimuaga Jakaya Kikwete kwa kustaafu uenyekiti wa CCM.

PICHA ZOTE NA EDWIN MJWAHUZISHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment