MKUU WA WILAYA YA TUNDURU COMRADE JUMA HOMERA AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA ZAHANATI HULIA

Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Mhe. Comrade Juma Homera akiwa akisaini daftari la wageni katika zahanati ya Hulia Kata ya Namwinyu tarafa ya Matemanga wilaya ya Tunduru.

Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Mhe. Comrade Juma Homera akiwa sikiza wagonjwa katika zahanati ya Hulia Kata ya Namwinyu tarafa ya Matemanga wilaya ya Tunduru.

Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Mhe. Comrade Juma Homera akisikiza maelezo toka kwa Mganga Makuu Bw. Anthony Kayombo katika zahanati ya Hulia Kata ya Namwinyu tarafa ya Matemanga wilaya ya Tunduru.

Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Mhe. Comrade Juma Homera akimsikiza Bw. Anthony Kayombo Mganga Mkuu wa zahanati ya Hulia Kata ya Namwinyu tarafa ya Matemanga wilaya ya Tunduru.

Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Mhe. Comrade Juma Homera akimsikiza Bw. Anthony Kayombo Mganga Mkuu wa zahanati ya Hulia Kata ya Namwinyu tarafa ya Matemanga wilaya ya Tunduru.

Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Mhe. Comrade Juma Homera akichangia hela ya kununulia godoro katika zahanati ya Hulia Kata ya Namwinyu tarafa ya Matemanga wilaya ya Tunduru.

Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Mhe. Comrade Juma Homera akizungumza na wafanyakazi wa zahanati ya Hulia Kata ya Namwinyu tarafa ya Matemanga wilaya ya Tunduru.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment