Mji mkuu Kabul Nchini Afghanstan washambuliwa tena kwa bomu mfululizo

Image copyrightAP
Image captionMji wa Kabul washambuliwa
Kumekuweko mashambulizi katika viwanja vya makazi ya wakandarasi wa kigeni nje ya mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, karibu na kikosi cha anga nchini humo kilichoko karibu na mji wa Bagram.
Gari lililokuwa limebeba vilipuzi, linaarifiwa kuripuka katika eneo la karibu na upande wa lango la kaskazini la viwanja hivyo, shambulio ambalo linafanana na lililotukia miaka mitatu iliyopita.
Mara baada ya shambulio hilo tayari waasi wa Taliban wametoa tamko la kukubali kuhusika na shambulio hilo, na kwamba wapiganaji wao wamekuwa wakishambulia kuelekea katia vinja hivyo.
Mpaka sasa hakuna tamko lolote kutoka katika serikali ya Afghanstan na pia hakuna maelezo zaidi kuhusiana na majeruhi.
BBC
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment