WACHEZA MIELEKA 10 WANAOLIPWA FEDHA NYINGI ZAIDI


WWE ni moja la jukwaa kubwa la wacheza mchezo wa mweleka.Kwa sasa wachezaji wa mchezo huu wanapata mamilioni ya fedha katika mikataba yao. 

Kati yao wapo John Cena, Brock Lesnar, Rock na Randy Orton. Wachezaji hawa wanalipwa kutokana na sifa zao za katika mapambano.

Kuna matukio makubwa katika mieleka yanatokea ambapo wacheza mchezo huu wanapambana kwa ajili ya vyeo.

Hii ni orodha ya wacheza mieleka wanaolipwa fedha nyingi zaidi katika WWE franchise
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment