WAARABU WAIFANYIA YANGA KITU MBAYA...FATAKI NA BARUTI ZALIPULIWA UWANJANI ILI KUWAPOTEZA NA KUWATIA HOFU WACHEZAJI...HATA HIVYO WAARABU WAJITUTUMUA NA KUICHAPA YANGA.


Image result for yanga vs mo bejaia
Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho la Soka Afrika, Yanga ya Jangwani usiku wa kuamkia leo walikumbana na kibano cha bao moja chungu kutoka kwa Bejaiya ya Algeria.
Yanga watalazimika kuzikata kilomita 6120 kurejea kwao Tanzania kabla ya kujipanga kukutana na Kisiki kingine TP Mazembe ya DRC.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment