Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli azindua sarafu maalumu ya shilingi 50,000

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizindua sarafu maalumu ya shilingi 50,000/- kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016. Kushoto ni Ktibu Mkuu wa Wizara ya Fedha ya Zanzibar Mhe Khamis Mussa Omar na kulia ni Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Benno Ndullu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizindua Kitabu kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea mfano wa hundi ya bilioni 4 kutoka kwa gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Benno Ndullu akishuhudiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt Servacius Likwelile (kulia) , Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ya Zanzibar Khamis Mussa Omar (wa pili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda (kushoto) na Profesa Paul Collier (watatu kushoto), mwandishi wa kitabu cha "Tanzania: The path to prosperity" kilichozinduliwa na Rais leo.Bendi ya BoT ikiwa tayari kutumbuiza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Magavana na Manaibu Magavana wa nchi mbaimbali kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Bodi ya wakurugenzi wa BOT kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli kiwa katika picha ya pamoja na wanakikundi cha Bendi ya BOT  kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment