MWIGULU AINGIA MAMBO YA NDANI KWA KASI YA KIPEKEE APOKELEWA KWA KISHINDO NA KUWATANGAZIA KIAMA WAUZA UNGA NA MAJAMBAZI WOTE.

Mh.mwigulu Nchemba baada ya kuapishwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,amewasili ofisini kwake tayari kwa kazi.

Wakuu wa Magareza, Zima moto na Uokoaji, Polisi na Uhamiaji wa wakimpokea Waziri wa mambo ya ndani ofisini.


Naibu waziri wa Mambo ya ndani Mh Masauni akimpokea waziri wa mambo ya ndani ofisini.

Katibu Mkuu wizara ya mambo ya ndani akimpokea waziiri Mwigulu aofisini.

Watumishi wa wizara ya mambo ya ndani wakimkaribisha waziri Mwigulu ofisiniPICHA ZOTE KWA HISSAN YA FESTO SANGA OFISI YA MWIGULU MCHEMBA.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment