MLIMBWENDE WA TAJI LA MISS ILEMELA 2016 APATIKANA INGIA NDANI KWA HABARI NA PICHA ZAIDI.
Mlimbwende Maria Frances (katikati) ametwaa taji la MISS ILEMELA 2016. Shindano la kumsaka mlimbwende huyo lilifanyika usiku wa jana June 04,2016 katika viunga vya Rock City Mall Jijini Mwanza.Katika shindano hilo, nafasi ya pili imenyakuliwa na Mwanaisha Hija (kulia) huku nafasi ya tatu ikinyakuliwa na Happness Contantine (kushoto).


Miss Ilemela 2016, Maria Frances, akizungumza na BMG baada ya kutwaa taji hilo usiku wa kuamkia leo.

Miss Ilemela 2016 nambari mbili, Mwanaisha Hija, akizungumza na BMG baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo.

Miss Ilemela 2016 nambari tatu, Happness Contantine, akizungumza na BMGWashiriki wa Miss Ilemela waliobahatika kuingia nafasi tano bora. Kulikuwa na washiriki 22Washiriki wa Miss Ilemela 2016 wakipita jukwaani kwa madaha kabisaWashiriki wa Miss Ilemela 2016, wakionyesha umahiri wa kucheza muzikiMajaji wa shindano la Miss Ilemela 2016James Peter Chuwa, ambae ni Afisa Tarafa Ilemela, akizungumza kwa niaba ya mgeni rasmi Miss Ilemela 2016, Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Manju Msambya.Mchekeshaji Maganiko akichekesha jukwaaniMsanii chipukizi kutoka jijini Mwanza, G-Ricko akitoa burudani katika shindano la Miss Ilemela 2016


Msanii Nay Wa Mitego akitoa burudani katika shindano la Miss Ilemela 2016.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment