MKENYA WANYAMA AZIDI KUNG'ARA KATIKA SOKA LA ULAYA ASAINI MKATABA WA MABILIONI

Image copyrightBBC WORLD SERVICE
Image captionVictor Wanyama katikati katika harakati za soka Ulaya
Kiungo na Nahodha wa Harambee stars Victor Wanyama imekamilisha rasmi uhamisho wake wa kwenda Tottenham akitokea Southampton kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 11.
Kulikuwa na taarifa hizi hapo awali Sasa ni dhahiri Wanyama ni mchezaji wa Tottenhamn baada ya kusaini rasmi mkataba mrefu wa miaka mitano kuichezea klabu hiyo.
Wanyama alijiunga na Southampton mwaka 2013 akitokea Celtic ya Scotland kwa ada ya uhamisho ya kitita cha paundi milioni 12.5 akitokea Germinal Beerschot ya Ubelgiji.
Hadi sasa Victor Wanyama amefunga magoli manne katika mechi 85 alizochezea ligi kuu ya England.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment