Mh.January Makamba Ashiriki Mahafari ya 24 ya Chuo cha Biblia


 Mhe.January Makamba Akiwasili chuoni hapo huku akisalimiana na wenyeji
 
Mhe.January Makamba(MB),Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano na Mazingira ) ameitumia Siku ya Tarehe 25 /6/2016 kushiriki katika mahafari 24 ya chuo cha biblia Vuga  (VUGA BIBLE )kilichopo katika halmashauri ya Bumbuli mkoani Tanga.  Vilevile Mhe.January Makamba alipata fursa ya kukagua baadhi ya miradi ya maendeleo inayofanywa na chuo hicho,Pia  aliupongeza uongozi wa chuo kwa kutoa elimu mbali mbali kwa wananchi waishio karibu na chuo na bumbuli kwa ujumla.
 Akitazama baadhi ya kazi za mikono za kikundi cha wakina mama wa Upendo,kikundi hicho kimepata mafunzo chuoni hapo.
 Mh Makamba akijifunza namna ya utengenezaji wa Mizinga ya nyuki kwa kutumia udongowa mfanyanzi,mizinga hiyo inauwezo wa kudumu miaka 80-100.
Mh Makamba akielekezwa jambo huku akijifunza  historia ya chuo hicho kwa njia ya picha.
 Akitazama baadhi ya kazi za mikono za kikundi cha wakina mama wa Upendo,kikundi hicho kimepata mafunzo chuoni hapo.
 Mh Makamba akifuruhia jambo kwa pamoja na Wana kikundi hao
 
 

 
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment