Mabasi ya mwendo kasi 'UDART' wazindua kadi za ki-elektronikiUDART wazindua kadi za ki-elektroniki


 • Kampuni ya UdaRT imeanzisha mfumo mpya wa kadi za kielekroniki kwa ajili ya malipo ya nauli kwa watumiaji wa usafiri wa mabasi yaendayo haraka.
 • Mkurugenzi mtendaji wa UdaRT, David Mgwassa amesema kadi hizo zitaanza kuuzwa kesho Jumatatu katika vituo vikuu vya mabasi vya Kimara, Ubungo, Morocco, Gerezani na Kivukoni.

  Kwa upande wake mkurugenzi wa kampuni ya Maxcom Afrika ambao ndiyo watengenezaji wa kadi hizo, Juma Rajab amesema bei ya kadi hiyo ni Sh 5,000 na itakuwa na Sh 4,500 ndani yake ambazo abiria anaweza kuzitumia kama nauli kwa safari nane.

  Amesema kadi hizo hazitakuwa na namba ya siri na kuwa kiwango cha juu kitakachowekwa katika kadi hiyo ni Sh30,000.
SHARE

 • Image
 • Image
 • Image
 • Image
 • Image
  Blogger Comment
  Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment