Haya nido mambo dunia inashangaa kuhusu Rais Magufuli Kula chakula kilichopikwa tu na mkewe


Image copyrightSTATEHOUSE TANZANIA
Image captionJohn Magufuli

Baada ya kutambuliwa kama mtu mwenye msimamo mkali na asiyependa dhihaka, na ambaye huwafuta watu hadharani, huenda sasa Rais wa Tanzania John Magufuli ana maadui wengi.
Sasa akiwa ikulu na kama njia ya kuchukua tahadharia, inaripotiwa kuwa Magufulu hula chakula kilichopikwa tu na mke wake.
Kulingana na gazeti la Financial Times ni kwamba hili limedhihirika kutoka na upinzani anaokumbana nao.
Lakini hilo halijathibitiswa wala gazeti la Financial Times halijasema ni jinsi gani walipata uvumi huo.
Chanzo BBC
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment