HATIMAYE PROF LIPUMBA 'ALAMBA MATAPISHI' YAKE RASMI AWAPIGIA MAGOTI CUF ARUDISHIWE UWENYEKITI WAKE.
Habari‬:Prof. Ibrahim Lipumba ametengua uamuzi wake wa kujiuzulu uenyekiti wa CUF na kumuandikia barua katibu mkuu wa chama hicho kuomba kufuta barua aliyoandika kujiuzuluu wadhifa huo.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment