HATIMAYE MWILI WA MFALME WA NDONDI THE GREATER MUHAMMAD ALI WAWASILI NYUMBANI KWAO LOUISVILLE KENTUCKY

Image copyrightGETTY IMAGES
Image captionMwili wa Ali wawasili Kentucky
Mwili wa aliyekuwa bondia mashuhuri duniani Mohammed Ali, umewasili mjini Louisville, Kentucky, ambako atazikwa siku ya Ijumaa.
Mwili wa bondia huyo wa zamani ulisafirishwa kwa msafara wa magari kutoka uwanja wa ndege wa Louisville .
Mazishi yake yanatarajiwa kuwa hafla kubwa ya umma.
Ali alikuwa mmoja wa wanamichezo maarufu zaidi duniani katika karne hii ya 20.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment