EFM REDIO TEAMYAWAFANYIA KITU MBAYA BONGO FLEVA FC YAISAMBARATISHA KWA BAO 4-3

Mechi ya kirafiki iliyochezwa jumapili ya Juni 06, 2016 baina ya EFM redio na bongo fleva imevutia mashabiki wapande zote mbili ambapo EFM ilishinda kwa magoli 4-3 dhidi ya Bongo Fleva 


Mechi hiyo iliyopigwa katika Uwanja wa Tanganyika Packas, Kawe Jijini Dar es salaam, ililenga kuimarisha afya, kukuza urafiki uliopo kati ya EFM redio na wasanii wa bongo fleva pamoja na kufahamiana zaidi.
Kikosi kamili cha EFM REDIO.
Kikosi cha BONGO FLEVA FC.
Msanii T.I.D akiwa tayari kwa mtanange huo.
Amini na Rich One.

Mtanange ukiendelea huku mshike mshike ukiwa kwa pande zote.
Kiungo mchezeshaji wa timu ya Bongo Fleva Fc, KR Mullah Jibaba akiangalia namna ya kumkabili Mshambuliaji wa timu ya EFM REDIO.
Umati wa wapenzi wa soka hilo ukiwa umefurika kwa wingi katika dimba la Tanganyika Packas, Kawe Jijini Dar es salaam.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment