BREAKING NEWS.... BINGWA WA ZAMANI WA MASUMBWI MUHAMMAD ALI 'THE GREATER' AFATIKI DUNIA ASUBUHI YA LEO.

Nicknamed "The Greatest", Ali retired from boxing in 1981 with a record 56 wins and only five losses [Reuters]
PICHA ZA MUHAMMAD ALI AKIWA JUKWAANI KWENYE MOJA YA MAPAMBANO YAKE MIAKA YA 1970'S
PICHA YA BONDIA MUHAMMAD ALI BAADA YA KUSTAAFU KUWA MWANA MASWIMBI.

Kwa mojibu wa taarifa iliyotolewana ALJAZEER 
Bondia bingwa wa Uzito wajuu Muhammad Ali Ze Greater amefariki alifajiri ya leo katika hospital moja huko Arizona alikokuwa kalazwa.

Mwana masumbwi Muhammad Ali amefariki akiwa na na miaka 74 na alikuwa akisumbuliwa na ugojwa wa 'KIHARUSI'

The Greater Muhammad Ali alistaafu kuwa mwana masumbwi mwka 1981.

Kwa waafrika watamkumbuka sana kwa Pambano lako na FORE lililofanyika jijijn kinshasa maarufu kama Rumble of Jungle.
(tutawaletea makala maalumu kuhusiana na pambano hilo).

Mungu ailaze Roho ya marehem pahala pema Peponi.

Inna lilah waina ilana Rjiun.
(baadae tutawaletea habari kamali kuhusiana na kifo cha Muhammad Ali.

SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment