SERIKALI YA KENYA YAKATAZA KUVUTA 'COCAINE' HADHARANI

Image copyrightGETTY
Image captionShisha
Wizara ya afya ya Kenya imekuwa ikitoa tahadhari dhidi ya matumizi ya uvutaji wa shisha ,katika siku hii ya kuadhimisha siku ya tumbaku duniani.
Siku hii ilitengwa na Shirika la Afya duniani kuwaonya watu kuhusu hatari za uvutaji wa sigara.
Image captionUjumbe wa Twitter uliochapishwa na wizara ya Afya nchini Kenya
Katika chapisho lao la Twitter , wizara hiyo imesema imepata chembechembe za dawa aina ya cocaine na dawa nyengine katika sampuli 4 kati ya 5 zilizotolewa kwa bidhaa za tumbaku ambazo hutumiwa na watu ambao hutumia viko kuvuta tumbaku.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment