KIJANA MTANZANIA RAJAI AYOUB ASHINDA MASHINDO YA QURAN DUNIAHUKO NCHINI IRAN. TAZAMA PICHA ZA MATUKIO YOTE NDANI YA TANURU LA FIKRA.Rajai Ayoub mwakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya ulimwengu ya kusoma Quran tukufu kwa mtindo wa Tajweed ametawazwa mshindi wa Mashindano hayo leo Mjini Tehran, Iran.

Kijana huyo barobaro alichuana vikali na kiasi ya wasoma Quran 100 kote ulimwenguni kwenye mashindano hayo ya fahari yanayofanya kila mwaka duniani.

Alhamndulillah Matokeo yametoka na tanzania tumepata no 6
No 1 Irani 
     2 afughanistan
     3 indonesia
     4 Germani
     5 Uholanz
     6 Tanzania.
Nawashukuru sana sana kwa umoja wenu kwa dua zenu tuko pamoja..
Mungu atujaalie tuzidi kuipenda Qurani.
SHARE

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments: